Endelea Kuisikiliza Redio Ihsaan Fm

Endelea Kuisikiliza Redio Ihsaan Fm

Wednesday, August 7, 2013

Ihsaan fm Radio Tanga: WAJUE WADAU WA REDIO IHSAAN FM TOCHI YA JAMII.

Ihsaan fm Radio Tanga: WAJUE WADAU WA REDIO IHSAAN FM TOCHI YA JAMII.:
Huyu ni Al Akh Nasoro AL Maharusi mdau mkubwa wa Redio ihsaan fm siku alipotembelea Redio Ihsaana na hapa chini yupo katika chumba cha uzalishaji cha Redio Ihsaan Fm akirekodi baadhi ya kipindi.


AL AKH.NASORO ALMAHARUSI KAMA ANAVYOONEKANA KATIKA PICHA  AKIWA PRODUCTION ROOM WAKATI ALIPOTEMBELEA STUDIO ZA REDIO IHSAAN FM HAPO JANA.
 ===============================================
BIN HAJI KUTOKA FIRDAUSI MARKAZI KWANJEKA  NAYE HAKUWA NYUMA KUZITEMBELEA STUDIO ZETU LEO HII ASUBUHI. NA HAPO CHINI AKIWA NA MDOGO WAKE