Kwa wale wanaohitaji kufanya field mnakaribishwa kuanzia jumatatu mwezi huu!
Redio Ihsaan Fm inapenda kuwatangazia kuwa kwa wale wote ambao wangependa kufanya nadharia kwa vitendo yaani FIELD basi inawakaribisha popote walipo,walete barua zao ili waweze kufanya Field katika kituo chake kilichopo katikati ya jiji la Tanga tukiwa tupo nyuma ya ofisi kuu za kampuni ya simu za mkononi za Tigo.