EID MUBARAKA TANGA
KAMATI YA MAANDALIZI YA TAMASHA LA IDDI INAPENDA KUWATANGAZIA WAISLAMU WOTE KATIKA SHEREHE ZA IDDI ZITAKAZOFANYIKA IDDI MOSI KATIKA VIWANJA VYA WAZI ENEO LA BARABAREA YA KUMI NA TISA (19) KATIKA MSIKITI WA NSWAARI MUSLIM TANGA.
MICHEZO MBALI MBALI ITAFANYIKA IKIWEMO:
- KUVUTA KAMBA
- KURUKA KAMBA
- SARAKASI
- MASHINDANO YA QURA AN
- KUKIMBIZA KUKU
- MBIO ZA MAGUNIA
- KUNATA NA BAIUSKELI
- BILA KUSAHAU KUNGFUU.
KIINGILIO KITAKUWA NI MIGUU YAKO TU YAANI TUKIMAANISHA NI BUREEEEEEEEEE.
KWA MAELEZO ZAIDI UNAWEZA KUPIGA SIMU NAMBA..0714 269440 AU 0659422296
WOTE MNAKARIBISHWA.
Tangazo hili limetolewa na kamati ya maandalizi ya Mashindao ANSWAAR Muslim Youth Center..Tanga.
No comments:
Post a Comment