Endelea Kuisikiliza Redio Ihsaan Fm

Endelea Kuisikiliza Redio Ihsaan Fm

Wednesday, August 7, 2013

WAJUE WADAU WA REDIO IHSAAN FM TOCHI YA JAMII.


Siku baadhi ya wakala wa Redio Ihsaan fm waliokuwa wakiuza fimu maalumu za saalamu kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani walipotembelea studio za redio ihsaan fm...na hapa wakiwa katika picha tofauti tofauti kama wanavyoonekana hapo chini wakiwa PDODUCTION STUDIO.
Makamo wa Raisi Sharifu shaame kushoto akiwa na Kassim Alfani wakiwa production room walipoitembelea studio za Redio Ihsaan Fm tochi ya jamii.



Makamo wa Raisi Sharifu Shaame akitoka  news Room wakati alipotembelea studio hizi hapo jana.

KASSIM Alfani kushoto  na kulia ni Sharifu Shaame wakiwa na HEMED YAASIN --MSAKA RIZKI  wakati walipotembelea studio za Redio Ihsaana Fm hapo jana.